AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR
SIKU ZA KILIO ZIMEPITA- Official Video

Be sure to SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and FOLLOW the Ambassadors of Christ on this channel, but ALSO on:

Facebook Page: https://www.facebook.com/Ambassadors-of-Christ-Choir-AOCC
Website: www.ambassadorsofchristchoir.org
Instagram: @ Ambassadors of Christ Choir
Email: ambassadorsocc@gmail.com

SONG CREDITS: Words, Music, instrumentation & Arrangement: BY SSOZI JORAM
Audio rights: Exclusively by Ambassadors of Christ Choir, recorded @ Ambassadors of Christ studio. Video rights exclusively owned by Ambassadors of Christ Choir

Ambassadors of Christ Choir is not for profit choir ministry affiliated to the Seventh day Adventist Church in Kigali-Rwanda. Since 1995, we have only one mission to preach the good news of the kingdom of God through the gift of music.

source

45 COMMENTS

 1. Sauti ilisikika mjini Rama, kilio na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, lakini hakutaka kufarijiwa kwa kuwa hawako tena.

  Bwana asema hebu zuia sauti yako usilie mama, na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo ×2

  Maana kazi yako itapata thawabu na kwa nguvu mpya×2 utainuliwa tena.

  Wakati tulio nao, si wa kuomboleza tena, siku za kilio zimepita zimekwisha, aanha.
  Sasa twasonga tena mbele kwa kazi yake bwana matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa, anhaa.
  Na tutaweza yote, kwa jina lake mwenye nguvu, na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza×2

  Twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu, uuhuu, asemapo baada hayo yote nitarejea, nami nitaijenga tena nyumba yake Daudi iliyoanguka nitajenga tena maanguko yake nitaisimamisha,
  Kwa ajili yake bwana twaweza kuuwawa mchana usiku kucha twahesabiwa kuwa kama kondoo wasubirio kuchinjwa,
  Lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda kwa yeye aliyetupenda jina lake lisifiwe milele.

  Baada ya siku hizo za kupigwa vikali
  Kama alivyoahidi nguvu mpya ametupatia tena.
  Wakati tulio nao si wa kuomboleza tena siku za kilio zimepita zimekwisha anhaaa.
  Sasa twasonga tena mbele kwa kazi yake bwana, matokeo kamwe hayatatukatisha tamaa, anhaaa.
  Natutaweza yote kwa jina lake mwenye nguvu na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here